dodoma ni njia ambapo tembo huwa wanakatisha sana. mimi binafsi nimeshakutana nao mara nyingi tu, pembeni kidogo ya mji wa dodoma. tena kwa makundi makubwa tu. hutokea mashariki maeneo ya kilosa morogoro, wanakatisha dom na kuelekea kwenye maeneo ya singidaWametokea hifadhi gani?
Huenda wanamtafuta kinana awatibu menoTembo wanne wamekutwa ndani ya eneo la Chuo Kikuu cha Dodoma na kuvutia umati mkubwa wa watu.
TANAPA yasema jitihada zinafanyika kuwarudisha hifadhini.
My take: Naona Tembo nao wameanza safari ya kuhamia Dodoma, mpaka 2020 tutarajie wanyama wengi kutoka jamii mbalimbali nao watatinga mji huu mkuu (joke).
----------------------------------------
Habari kutoka Mwanachi Online

TEMBO WATINGA DODOMA
Dodoma ilikuwa mshikemshike leo alfajiri katika maeneo ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) baada ya tembo wanne kutinga chuoni hapo.
Watu wamefurika chuoni hapo kuwaangalia lakini polisi wamewazuia kusogea karibu na eneo walipo tembo hao.
Msemaji wa Tanapa, Paschal Shelutete amesema tayari wameshaita askari wa wanyapori kutoka Manyoni kwa ajili kuwaondoa tembo hao.
Shelutete amesema askari hao wanatarajiwa kufika wakati wowote kuanzia sasa.
Tembo wanne wamekutwa ndani ya eneo la Chuo Kikuu cha Dodoma na kuvutia umati mkubwa wa watu.

Watakufungulia kesi Tundu Lissu karibu wa2 kila ki2 mashtaka mahakamani[emoji23]Vipi kwani kuna tatizo tembo kusalimiana🙂🙂
kwani wewe ni mtumishi wa uma???Samahani mkuu hyo ni pic yako og, manake nami nataka kuhamia dom
Kwa kesi ipi?Watakufungulia kesi Tundu Lissu karibu wa2 kila ki2 mashtaka mahakamani[emoji23]
Tembo wanne wamekutwa ndani ya eneo la Chuo Kikuu cha Dodoma na kuvutia umati mkubwa wa watu.
TANAPA yasema jitihada zinafanyika kuwarudisha hifadhini.
My take: Naona Tembo nao wameanza safari ya kuhamia Dodoma, mpaka 2020 tutarajie wanyama wengi kutoka jamii mbalimbali nao watatinga mji huu mkuu (joke).
----------------------------------------
Habari kutoka Mwanachi Online
----------------------------------------
TEMBO WATINGA DODOMA
Dodoma ilikuwa mshikemshike leo alfajiri katika maeneo ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) baada ya tembo wanne kutinga chuoni hapo.
Watu wamefurika chuoni hapo kuwaangalia lakini polisi wamewazuia kusogea karibu na eneo walipo tembo hao.
Msemaji wa Tanapa, Paschal Shelutete amesema tayari wameshaita askari wa wanyapori kutoka Manyoni kwa ajili kuwaondoa tembo hao.
Shelutete amesema askari hao wanatarajiwa kufika wakati wowote kuanzia sasa.
TarangileMakao makuu ya tembo ni wapi??