Tembo wanne watinga Chuo Kikuu Dodoma

Mgonja nikawaone nijue wanataka kusoma kozi gani hapo UDOM. Najua wanajihami na kutumbuliwa kwa kutokuwa na veti .
 
Asili ya jina Dodoma inatokana na neno IDODOMYA ambapo tembo waliwahigi kudidimia kwenye matope hivyo historia inairudia
 
Walisikia Faru John anahamia Dodoma, wameona wamuwahi kuwahi malisho na maji.
 
hiv dodoma kuna mbuga gan ya wanyama!!!!?
 
GPS locator kama ilivyoainisshwa n JK hawakuvishwa hawa imekuaje mpka wanafika UDOM askar wa manyoni vipi kulikoni Jamn
 
Mmmh! Nadhani watakuwa wale majamaa wa kabila flani la huko songea hiviiiii!!!!????
Au kama vipi tupia hata kapicha tuwathibitishe hao akina tembo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…