Tembo wanateketea huko Tunduru, Ruvuma

Tembo wanateketea huko Tunduru, Ruvuma

ligendayika

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2012
Posts
1,183
Reaction score
199
Habari iliyotolewa leo na kamanda wa polis ruvuma kuwa tarehe 19 polis kwa kushirikiana na askari wa wanyama pori huko tunduru ktk kijiji cha majala wamekamata meno ya tembo 20.yaAni meno 40. Kaazi kwelikweli.
 

Attachments

  • DSC00146.jpeg
    DSC00146.jpeg
    10.5 KB · Views: 151
Waambie wapeleke kwenye meli ya kinena ili yasafirishwa fasta.
 
bora hao wanaosafirisha meno tu na minofu wanaiacha, nawachukia sana wanaosarifisha twiga mzima mzima pale KIA.
 
Back
Top Bottom