Tembelea hifadhi ya Mikumi kwa gharama nafuu

Mkuu lakini tatu ni nyingi sana kwa daytrip tena kwa mtanzania. Unless you are serving high ends clients au unatumia luxury jeep zenye Wi-Fi, cameras pamoja na binoculars. Au uainishe vitu vingine vya ziada katika hiyo laki tatu ambavyo so far meals na parkfees ushavitoa kilichobaki ni hiyo game drive tu.
 
Asante. Kwa maana hiyo itanibidi nije hadi morogoro ili kuanza safari?
Najaribu kupata gharama halisi watu wawili :- usafiri 300,000
kiingilio 5900 x 2 = 11,800/=
kulala 30,000
chakula 20,000 x 2 x 2= 80,000
dom moro 20,000 x 2 x 2 = 80,000
Kuna gharama nyingine zaidi ya hizi??
Hapo kwenye kulala kama mpo wawili itakuwa 40000 ukiweka na V.A.T itakuwa 47200/=

Kwenye chakula itategemea mwenyewe maana kama utakula mchana na usiku ni 30000 kwa watu wawili 60000 ... Chai ndio mtapata bure..

Alafu pia kuna vinywaji, Soda na beer kama ni mtumiaji
 
Mkuu lakini tatu ni nyingi sana kwa daytrip tena kwa mtanzania. Unless you are serving high ends clients au unatumia luxury jeep zenye Wi-Fi, cameras pamoja na binoculars. Au uainishe vitu vingine vya ziada katika hiyo laki tatu ambavyo so far meals na parkfees ushavitoa kilichobaki ni hiyo game drive tu.
Kutoka morogoro adi mikumi ni Km 120x 2=240

Game drive km 30- 60

Niambie nitatumia mafuta ya shilingi ngapi?

Kabla hatujaja kwenye hayo mambo mengine
 
Mimi Mwl wa VETA Mikumi naweza pata bonus coz ntatembea kwa Mguu mpk hapo getini
 
Hapo kwenye kulala kama mpo wawili itakuwa 40000 ukiweka na V.A.T itakuwa 47200/=

Kwenye chakula itategemea mwenyewe maana kama utakula mchana na usiku ni 30000 kwa watu wawili 60000 ... Chai ndio mtapata bure..

Alafu pia kuna vinywaji, Soda na beer kama ni mtumiaji

Thanks.... bei ya bia ni ile ninayoijua? kaserengeti kepesi 1,500?= au ndo itakuwa 15,000???!!!
Naruhusiwa kuja na chupa yangu ya ulanzi?
 
Sina uhakika ila haizidi 3000 ........mimi ata bei ya beer mtaani sijui
 
kamanda unaweza ukawa na taarifa za gharama kutoka arusha kwenda ngorongoro kukaa siiku mbili kama ulivyodadavua kwa mbuga ya mikumi.....
 
  • Thanks
Reactions: ARV
Kutoka morogoro adi mikumi ni Km 120x 2=240

Game drive km 30- 60

Niambie nitatumia mafuta ya shilingi ngapi?

Kabla hatujaja kwenye hayo mambo mengine
Achana naye, huyo ana akili za kimaskini, atumie gari lake mwenyewe...
 
Mkuu lakini tatu ni nyingi sana kwa daytrip tena kwa mtanzania. Unless you are serving high ends clients au unatumia luxury jeep zenye Wi-Fi, cameras pamoja na binoculars. Au uainishe vitu vingine vya ziada katika hiyo laki tatu ambavyo so far meals na parkfees ushavitoa kilichobaki ni hiyo game drive tu.
Mzee umeambiwa laki tatu mnaweza kuwa hata saba , sasa gawanya hiyo laki tatu kwa saba
 
Kutoka morogoro adi mikumi ni Km 120x 2=240

Game drive km 30- 60

Niambie nitatumia mafuta ya shilingi ngapi?

Kabla hatujaja kwenye hayo mambo mengine
Mkuu gari yako iko wazi juu au tutaangalia wanyama kwa kupitia madirishani?
 
Back
Top Bottom