Eric Shigongo katembelEa marekani anakwambia tanzania ina unafuhuu kuliko USA.Unapotembea unajifunza na kufurahisha Akili. Maisha ni Kufurahi kile kidogo ambacho Mungu amekujaria Sema Asante,
Ikiwa wewe ni Mkristo/ Muilsmu au Mtu usie na Dini, ila unaamini ktk Mungu Furahi na Kutembea Sehemu ambazo unaona unaweza Fika, Jana Na Leo Nipo Kabwe, MBEYA, nimefurahi kua hapa, na panapo Majariwa ntaenda Sehemu ingine kutembea tu nakuipa Furaha akili yangu kwa kuona mandhari tofauti....Hapa kabwe Kuna kibanda cha kahawa nimekunywa kahawa....Washikaji wa Njiro(Relini)Wiki iliopita Nimefurahi kua pale mwendo wa kuzurula tu.
Nafasi ikipatikana tunaenda kutembea Sehemu Zingine sio lazima kwenda kwa Ndugu/ Marafiki unaenda mikoa mwingine kabisa na nyumbani......
Kitambulisho ganiNimeamua kuzurula tu, kuipa nafsi Furaha, ila nimebeba Vitambulisho. Kitambulisho Muhimu sanaaa unapozurula kama hiv
Mungu atakujaria ndugu yangu, ktk Kila Jambo shughuri zako muhusishe Mungu atakujaria ndugu yangu.heri yako unaweza kutembea maeneo tofauti bila vikwazo, kuna wengine wengi hata kujua tumboni kitaingia kitu gani hawajui na michongo haisomeki.
Cha chuo jeKinaonyesha utambulisho wako, hata Ukiwa na passport inatosha, pia ni utambulisho wako.
hongera sana mkuu! hata mm nafikiria kufanya matembezi haswa mikoa ya kusini nipo Kanda ya ziwa.. nina usafiri ngoja nidundulize hela ya mafutaUnapotembea unajifunza na kufurahisha Akili. Maisha ni Kufurahi kile kidogo ambacho Mungu amekujaria Sema Asante,
Ikiwa wewe ni Mkristo/ Muilsmu au Mtu usie na Dini, ila unaamini ktk Mungu Furahi na Kutembea Sehemu ambazo unaona unaweza Fika, Jana Na Leo Nipo Kabwe, MBEYA, nimefurahi kua hapa, na panapo Majariwa ntaenda Sehemu ingine kutembea tu nakuipa Furaha akili yangu kwa kuona mandhari tofauti....Hapa kabwe Kuna kibanda cha kahawa nimekunywa kahawa....Washikaji wa Njiro(Relini)Wiki iliopita Nimefurahi kua pale mwendo wa kuzurula tu.
Nafasi ikipatikana tunaenda kutembea Sehemu Zingine sio lazima kwenda kwa Ndugu/ Marafiki unaenda mikoa mwingine kabisa na nyumbani......
Nimekuuliza kitambulisho cha chuo kinafaa kutembeleaMungu akunijaria kufika Chuo, ila Mungu amenijaria baraka Zingine
OkNdio nao ni Utambulisho,