Temba Hapa Kazi Tu

bowlibo

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2011
Posts
3,209
Reaction score
2,920
Ukawa kazini, check buti la Temba
 

Attachments

  • Chege-na-Temba-wakikamua-kwenye-viwanja-hivyo.jpg
    33.6 KB · Views: 1,016
UKAWA kazini?Halafu huyo Temba na Chegge wake hawana jipya kama CCM.
 
Burudani ccm, kura ukawa. Hiki ndio kipindi cha kula hela ya ccm, siku ya kura unaipiga chini kwa sana tu.
 
UKAWA kazini?Halafu huyo Temba na Chegge wake hawana jipya kama CCM.
nifah check vizuri wanaonyesha tuko nao pamoja kwenye safari ya mabadiliko, buti zao ni full UKAWA.

Kula ccm, kura UKAWA, safi Temba
 
Last edited by a moderator:
duh yale malalamiko ya makufuli sasa nimeanza kumuelewa

Leo nimeota kuwa.......waliotoka ccm kuja ukawa ni wachache kuliko waliobaki.........ambao wapo ukawa kiroho lakini kibode wapo ccm...........
 
Leo nimeota kuwa.......waliotoka ccm kuja ukawa ni wachache kuliko waliobaki.........ambao wapo ukawa kiroho lakini kibode wapo ccm...........

ai lavu yuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…