Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Feb 10, 2016 #21 Bitoz said: Unatumia Old JF ? Km yes update it plz Click to expand... Natumia hii mpya. Pic za jana leo ndio zinafunguka
Bitoz said: Unatumia Old JF ? Km yes update it plz Click to expand... Natumia hii mpya. Pic za jana leo ndio zinafunguka
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Feb 10, 2016 #22 'Valentina' said: Natumia hii mpya. Pic za jana leo ndio zinafunguka Click to expand... Basi ni network tu Don't worry _!!!!
'Valentina' said: Natumia hii mpya. Pic za jana leo ndio zinafunguka Click to expand... Basi ni network tu Don't worry _!!!!
wamawazo Member Joined Jan 7, 2016 Posts 71 Reaction score 30 Feb 10, 2016 #23 Ninayachukia basi tu Sina uwezo ningekuwa kama Mugabe yangenitambua
Barbarosa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2015 Posts 22,584 Reaction score 27,837 Feb 10, 2016 #24 Kibo10 said: View attachment 322154 View attachment 322155 View attachment 322156 Tell me again why we should forget...??? #BlackHistoryMonth #NeverForget Click to expand... Huku ndiyo fisadi Lowasa alitaka kuturudisha na hawa anaowaaita marafiki zake, tukamshtukia na kumpiga chini!
Kibo10 said: View attachment 322154 View attachment 322155 View attachment 322156 Tell me again why we should forget...??? #BlackHistoryMonth #NeverForget Click to expand... Huku ndiyo fisadi Lowasa alitaka kuturudisha na hawa anaowaaita marafiki zake, tukamshtukia na kumpiga chini!
Mwana JF-Expert Member Joined Aug 6, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,967 Feb 13, 2016 #25 'Valentina' said: Sijui kwanini picha kwangu zinagoma kufunguka Click to expand... Bora tu zigome zinasikitisha sijui kwa nini nimefungua. Nadhani poicha kama hizi zingeambatana na ujumbe wa kutahadharisha!
'Valentina' said: Sijui kwanini picha kwangu zinagoma kufunguka Click to expand... Bora tu zigome zinasikitisha sijui kwa nini nimefungua. Nadhani poicha kama hizi zingeambatana na ujumbe wa kutahadharisha!
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Feb 13, 2016 #26 Mwana said: Bora tu zigome zinasikitisha sijui kwa nini nimefungua. Nadhani poicha kama hizi zingeambatana na ujumbe wa kutahadharisha! Click to expand... Zinahusu nini?
Mwana said: Bora tu zigome zinasikitisha sijui kwa nini nimefungua. Nadhani poicha kama hizi zingeambatana na ujumbe wa kutahadharisha! Click to expand... Zinahusu nini?
Mwana JF-Expert Member Joined Aug 6, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,967 Feb 13, 2016 #27 'Valentina' said: Zinahusu nini? Click to expand... Wakati wa utumwa mara watu weusi wananyongwa mara mtu mweusi anapigwa!
'Valentina' said: Zinahusu nini? Click to expand... Wakati wa utumwa mara watu weusi wananyongwa mara mtu mweusi anapigwa!
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Feb 13, 2016 #28 Mwana said: Wakati wa utumwa mara watu weusi wananyongwa mara mtu mweusi anapigwa! Click to expand... Duuh! Bora nisione
Mwana said: Wakati wa utumwa mara watu weusi wananyongwa mara mtu mweusi anapigwa! Click to expand... Duuh! Bora nisione
Mwana JF-Expert Member Joined Aug 6, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,967 Feb 13, 2016 #29 'Valentina' said: Duuh! Bora nisione Click to expand... Unadhani inasononesha sana!