Television ya CCM iko njiani, ya CHADEMA iko wapi?


Pole but Tanzania ni nchi huru huwezi kunilazimisha niwe mfuasi wa itikadi ya chama unachoamini wewe ... Binafsi sijaona mbadala wa ccm ... Wapinzani wakiingia madarakani kitu cha kwanza watakachofanya ni kijiimarisha kichama kutengeneza magazeti Yao ... Radio zao ... Tv stations zao .. hiyo itachukuwa 10 years wananchi mtazidi kutaabika .
 
Pamoja na ugumu wa kuanzisha TV kwa CHADEMA bado nafikiri bado kuna umuhimu wa kuendelea kuitumia njia hii walioianzisha chadematv's Channel - YouTube kwa kweli inachelewa kuweka habari muhimu ambazo ni muafaka wakati wote tunapotembelea tunakuta inachelewa .Matokeo yakea mtu akifungua mara tano kwa siku hakuna kipya hatarudi tena Myika hili litazame wakati hatuna jiaa muhafaka.Wekeni maendeleo ya kampaini za uchaguzi uzini,michango yenu katika bunge na kila matamko yenu katika vyombo vya habari.Ninaimani kama kila siku itakua na kipya watu watajenga tabia ya kuitembelea na itakua maarufu na kimbilio la wale wote wanaokosa habari kwa kuchakachuliwa.Mnyika hii ni changamoto muhimu.
 
Believe me or not, 4 real changes TVs and Radios have got no great deal. I am sure if we can effectively use internet(computers and mobile phones), we are in a good position of doing away with CCM. I would like to argue all CHADEMA good wishers to try and market the party in the market(I mean to Tanzaniana).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…