Television ya CCM iko njiani, ya CHADEMA iko wapi?

Nani anaangalia TV siku hizi? Idadi ya washamba inaenda ikipungua.
wakitaka waanzishe online forums na wao, maana wengi wanakesha humu.
Eti nini?
Hapana, Michuzi blog bado haitoshi kuwatoa vilivyo!
 
Ehee kwani lini ccm wamejitoa TBC? Au jana maana sikuangalia taarifa,ebu tujuzeni kama sisiem wamejitoa umiliki wa TBC tv?
 

Safi sana kamanda Mnyika. Umeeleweka mkuu
 


Safi sana mkuu tupo pamoja,people's power
 
Kwel we pimbi unafurah rasimal za nchi znavyotumiwa na chama hebu twambie wewe nafamia yako mtafaidika nin na hiyo Tv?
 
CCM wawe na TV ngapi tena? kwani ile TBC ni ya nani? Hayo magamba yalishajimilikisha toka kitambo na ndo maana leo ipo live Mwanza bila hata senti.

Clouds TV pia
 
Hiyo TV station mpya itakuwa ya Wapinga ufisadi uchwara ( sitta na wenzie) au mafisadi hai (EL na RA), au itakuwa ya JK na Riz 1?

Pasco wa JF hebu tusaidie
 
CCM ni mashine nyingine mkuu!! yaani kama ni soccer CCM ni Man UTD na Chadema ni vila squad ....

Unaongea bila kua na vigezo na unachokisifia.ni sawa na kuisia mbu wakati inakunyonya damu
 
hela za cdm inaishia kwenye posho za maandamano
bila kusahau za CCM zinaishia kwenye hongo za uchaguzi...wamefilisi nchi sasa! madaktari , walimu, wafanyakazi serikalini, wastaafu hawajalipwa stahiki zao mpaka sasa! na serikali haina hela!!!!
 

Dear Mnyika,
Robust division of labour is a prerequisite for development. It’s a prerequisite because it forces people to be professional and also increases productivity and efficient in given areas. To that end, I don’t see any reasons why CCM or for that matter CHADEMA want to own a TV station. Political parties should stick to their main political objectives, and dissemination of news contents to masses is none of them.

For over 50 years, CCM have owned some sorts of mass media. Take for example Uhuru Newspaper. It was a good propaganda tool during the communist era. However, it should be noted that since the introduction of multiparty system and freedom of press, the newspaper has faded from public eyes. Its demise indicates that in modern era the ownership of news media by political parties isn’t what people really want.

Tanzanians want good information that will help them to make good and informed decisions. I am not sure whether CCM or any political parties will be able to fulfill this objective while maintaining journalistic independence.

Furthermore, CCM and CHADEMA use tax payers’ money for their own existence. At this time when the economy of the country is in a bad shape, both parties should restrain from unnecessary expenses. I call these TV projects unnecessary expenses because current news media are doing a great job to cover the news. So what different will it make if JK, Mbowe or Slaa has his own TV 24/7?

As I mentioned above division of labour is a prerequisite for development. CHADEMA have done a fantastic job because they have cultivated on the few opportunities they have had and their political objectives. However, as the party grows in stature, it seems to me that they want everything that CCM have. This is a bad idea.

It’s a bad idea because if the goal of CHADEMA is to topple CCM from power and change the country, TV isn’t the game changer. Computers and mobile phones are. Tunisian and Egyptians have changed their governments without an opposition TV on the air.
 

kama ungekuwa mwanza leo ndo ungegundua kuwa CCM wameanza kutapatapa.. Wamefikia hatua ya kukodi watu kutoka vijijini na mikoa mingine ili ionekane umati mkubwa KIRUMBA.. Uthibitisho ninao.. Watu wametoka kahama, Tabora, shinyanga kwa kipewa posho huku wakazi wa mwanza wakiendelea na shughuli zao kama kawaida..
 
Chadema TV. mbona ipo kwenye Site ya Chadema tembelea utaiona.
 
CCM ni mashine nyingine mkuu!! yaani kama ni soccer CCM ni Man UTD na Chadema ni vila squad ....
vitoto vya mafyasadi utaijua tu invyojamba kodi zetu
 
Nimemsikia komredi Mukama akisema kuwa TV ya CCM iko kwenye mchakato wa kuanzishwa na tayari bodi imeundwa. Ya chadema hata wazo hakuna, Chadema mpo serious kweli?

ya chadema ipo dukani sasa unasemaje? sababu hiyo tv yao itengenezwe chadema watakuwa na kituo cha kurushia matangazo tafakari wapi umekosea.
 
Nani anaangalia TV siku hizi? Idadi ya washamba inaenda ikipungua.
wakitaka waanzishe online forums na wao, maana wengi wanakesha humu.
Eti nini?
Hapana, Michuzi blog bado haitoshi kuwatoa vilivyo!

iyo tv mtangazaji wa kwanza Atakuwa Wasira,na mwigulu Nchemba
 
Nani anaangalia TV siku hizi? Idadi ya washamba inaenda ikipungua.
wakitaka waanzishe online forums na wao, maana wengi wanakesha humu.
Eti nini?
Hapana, Michuzi blog bado haitoshi kuwatoa vilivyo!

iyo tv mtangazaji wa kwanza Atakuwa Wasira,na mwigulu Nchemba
 
CCM ni mashine nyingine mkuu!! yaani kama ni soccer CCM ni Man UTD na Chadema ni vila squad ....
ukikuta mtu mzima na akili zake anashabikia ccm tena kwa mapato yao ya kuibia wananchi ujue huyo hana tofauti na wanaume kama mabinti ambao tumekuwa tukijiuliza wana tatizo gani au ni kweli ndivyo walivyoumbwa..! Mungu haumbi upuuzi huo niwakujitakia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…