Television Box

Television Box

ERoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
52,367
Reaction score
118,752
Wakuu wa Tech naomba msaada kidogo.

Nimejaribu kupitia forums mbalimbali za habari za Tv Box kama vile Android TV box. Kuna maswali bado yananitatiza as sikupata clear cut answers.

1. Tofauti ya hizi tv boxes na iptv ni nini?
2. Najua ni lazima utumie internet ili ku-stream channels, je inaweza kutumia mb/gb ngapi kwa live match moja?
3. Mdau mmoja aliniambia ni lazima niwe na "pay account", hii nalipia ili nipate nini?
4. Kuna apps kama Kodi, Mobdro etc ambazo zinakuja na box, je hizo apps zinalipiwa au ni free kuzitumia?
5. Nimesoma pia kuwa sio vizuri, 'not recommended' kununua 'loaded box', ambayo ina kila kitu, wewe ni 'plug and play' tu. Sababu hasa ni nini?
6. Pia naomba kujua best tv boxes za android na bei zake kwa jiji la Das'lam.
 
1. tv box ni mama na iptv ni mmoja wa watoto wa tv box. ukiwa na tv box utaweza kuplay chanell za online (iptv), kuplay movies na video mbalimbali za offline, kusoma vitabu, kubrowse internet, kucheza games etc.

iptv ni kuangalia tu Tv online kupitia internet.

2. hakuna kiwango maalumu cha mb ukiangalia mechi, unaweza tumia mb 200 unaweza tumia 5gb na kuendelea. kiwango cha mb kitatokana na quality na compression iliotumika. kama quality ni kubwa sana basi na mb zitaenda nyingi na kama quality ni ndogo na mb zitaenda chache.

3. sio lazima uwe na pay account ila kuna wakati ni vyema uwe nayo. lakini hio pay account ni ya iptv na sio box,

iptv za bure hazina uhakika, mfano mobdro inaweza kuonesha vizuri sasa hivi lakini wakati wa mechi ikaanza kuganda kuganda, hii inatokana na idadi ya watu, mkiwa wengi server inazidiwa na kuwa slow. ila pay account sababu mnalipia wachache server inawamudu wote na kuonesha vizuri bila kunata nata.

4.atleast hizo app ulizozitaja za mobdro na kodi ni bure, zipo nyengine nyingi tu nazo ni bure zaidi ya hizo. na pia zipo za kulipia.

5. kila kitu kina mwanzo na mwisho, hasa mambo ya internet. mtu atakushawishi pre loaded box lake ni kali, baada ya mwezi hana hela za kulipia server ana shut down unabaki na links ambazo zimekufa. kama atakuachia option ya kueka apps nyengine (mfano android tv box) basi hakuna neno utaeka, ila kama alibana uone chanell zake tu na za kwake ndio zimekufa hapa itakuwa imekula kwako.

6. Dar michina mingi mkuu, mara chache sana naona tv box za maana kama amazon fire tv au fire tv stick,

kama wewe unataka tu simple tv box nunua amazon fire tv stick, ni ndogo kama flash na kwa juhudi kidogo utaweza ku sideload app zote za android.

41vQqNH7zQL._SY400_.jpg

bei ni around dola 30 hadi 40 hivi. ukiagizia online total cost haitafika hata 150,000

pia zipo box za xiaomi mi box, Nvidia shield TV nazo ni nzuri pia ila kwa bei za juu zaidi. kama ni mpenzi wa games nvidia shield haina mpinzani kwenye android.
 
Haya maelezo yalihitaji kulipiwa mkuu, thanx for sharing with us mkuu.
 
Kaka, nakukubali Sana. Una moyo mwema WA kutupa elimu ambayo wengi hatunayo.

Swali langu, Nikiwa Na TV box nitaweza ku stream football matches Na nikaangalia Kwa TV?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio inawezekana mkuu, kama ni android tv box unatumia njia zile zile unazotumia kwenye simu.
 
Back
Top Bottom