Wizara ya Afya ya Tanzania ina Kitengo cha Telemedicine, Kitengo kina Budget kila mwaka na kina Mkurugenzi wake (niliwai kuwa nae kwenye msafara wa kutembelea Telemedicine systems manufacturing Company moja huko kwa watu weupe) Pale Dar es Salaam Institute of Technology upande wa Morogoro Road kuna Satelite Dish inayolink na India Supper Computer (for big scientific researches) na pia ina Port ya Telemedicine ambayo imelink na Telemedicine ya Serikali ya India yenye wataalam mbalimbali wa afya India yote.Nakaribisha mjadala kuhusu TELEMEDICINE {Tiba mtandaoni} huduma hii inafanyika Tanzania, ni akina nani wanafanya au haiko kwenye mifumo ya Tiba Tanzania.
Je,Tanzania inaweza nufaika na huduma hii kama ikianzishwa
Aisee shukran sana chief, kumbe zipo system mi nilijua haiko kabisa TzWizara ya Afya ya Tanzania ina Kitengo cha Telemedicine ,Kitengo kina Budget kila mwaka na kina Mkurugenzi wake(niliwai kuwa nae kwenye msafara wa kutembelea Telemedicine systems manufacturing Company moja huko kwa watu weupe)Pale Dar es salaam Institute of Technology upande wa Morogoro Road kuna Satelite Dish inayolink na India Supper Computer (for big scientific researches) na pia ina Port ya Telemedicine ambayo imelink na Telemedicine ya Serikali ya India yenye wataalam mbalimbali wa afya India yote. Kuna bahadhi ya Hospital private za hapa Tanzania zina Telemedicine system za kwao wenyewe private- niliwai Chukuliwa Vipimo Dar es salaam katika Hospital moja, then vipimo vilienda nje ya Tanzania na baada ya nusu saa ndo majibu yalitumwa kwa Email ndo nikaenda mwona Daktari na kupata tiba.Serikali yetu bado ipo chini sana kwenye hili na wangeokoa maisha ya watanzania wengi iwapo huduma hii ingekuwepo
Fika wizara ya afya kitengo cha Telemedicine watakupa maelekezo ya nini ufanye na jinsi gani utapata Leseni etc. Kuna Area zingine za Telemedicine zina Funds nyingi tu toka kwa donors! So you can make it kama utakuwa serious na mwenye mapenzi na hii taalumaAisee shukran sana chief, kumbe zipo system mi nilijua haiko kabisa Tz
Kwani kuna private organisations ziko officially zinafanya hii
Kwa kenya niliona iyo moja inaitwa Afya pap ila bongo wengi wakianza zina fail
Kuna moja nimeiona juzi apa Afya chap, alaf kuna wengine wanaitwa medikea lakini nikajaribu ki dig nikaja kugundua sio purely Telemedicine ni kwamba wanafanya second opinions tuu
Taratibu za kufanya hii kitu bongo ziko vipi
Shukran sana chief,Fika wizara ya afya kitengo cha Telemedicine watakupa maelekezo ya nini ufanye na jinsi gani utapata Leseni etc. Kuna Area zingine za Telemedicine zina Funds nyingi tu toka kwa donors! So you can make it kama utakuwa serious na mwenye mapenzi na hii taaluma