Telekinesis

Binadamu anaweza kufanya miujiza kwa msaada wa kuwezeshwa na nguvu ya aina mbili 2 1)Kusaidiwa nguvu ya Roho mtakatifu nguvu ya Nuru au nguvu za Mungu au 2)kusaidiwa na roho wa giza/ufalme wa giza shetani na mawala wake(mizimu,mapepo ,majini ,uchawi,uganga wa kienyeji n.k)

NJE WA MSAADA WA HIZO NGUVU MBILI a)msaada wa Mungu/nguvu za Nuru au b)msaada wa shetani nguvu za giza(majini,mizimu n.k)
bila msaada huo
Binadamu hana uwezo wowote wa kufanya miujiza bila msaada wa kiroho kutoka ufalme wa nuru au ufalme wa giza.
Hata waganga wa kienyeji bila kupandisha mizimu kichwani kuita wazeee au majini yao hawana maajabu hawana miujiza
the same kwa viongozi wa kiroho wahubiri wenye nguvu ya Mungu wanao ombea watu mapepo yakatoka na wakapona..miujiza wanayofanyabni kwa msaada wa nguvu za Mungu ,Roho mtakatifu sio nguvu zao,na hata wakiponya watu wanatakiwa waseme ni Mungu aliyewaponya sio wao.
TOFAUTI NI KWAMBA
Shetani anafanya kazi kwa siri sana ,kuna baadhi ya watu wanatumiwa na nguvu za giza bila ridhaa yao na bila wao kujua ,hivyo wanaweza kijikuta wanafanya miujiza wakafikiri ni kwa nguvu zao kama wale walikuwa wanajiita POWER MABULA au hao wanaohamisha vitu bila nyenzo yoyote bila kuzishika ,kumbe wako possesed na ma demon/ma mizimu ila hawajui,(wanajiita super human,au super natural kumbe ni wanawezeshwa na nguvu ya nje ya ziada kotoka kwa majino,mizimu(ufalme wa giza.)
Na kuna vitu ukivifanya una alika nguvu za giza zikuingie na kuna vitu ukibifanya una alika nguvu ya Mungu .
unaweza kusema una clear mind na kufanya meditations kumbe unafungulia mlango na ku alika nguvu za giza majini yakuvae bila wewe kujua.SIO KILA KITU CHA KUJARIBU.
 
HUKO Babeli WANA Akiolojia wamegundua HILI jiwe hili HAPA ambalo kwa SASA NI jiwe KUBWA KULIKO mawe YOTE yaliyogunduliwa na yaliycwahi kuchongwa KWA MIKONO YA wanadamu

CHA KUJIULIZA HAPA ni KWAMBA jiwe hili lingechukuliwaje KUTOKA KWENYE quarry kupelekwa KWENYE site?

Could be HILI jiwe lilitelekezwa na WATU WALIOKUWA wanajenga mnara WA Babeli CHINI ya Engineer Nimrod?

 
Hizi nguvu MTU akizitumia kupiga hela kwanini huwa zinapotea ?

Hii nimeiona Sana

Ukimuombea MTU bila kumuomba hela huyo MTU anafanikiwa na Kama alikuwa na shida inaisha kabisa au kupata ufumbuzi.


Hii nime-practice Mimi sio Mtumishi ila huwa napenda kufanya ibada kuwaombea watu marafiki ,ndugu n.k

Nadhni psychic power -zipo Ila hazipendi uzitumie kupata faida au profit gain.
 
Zi
Zipo nyingi TU cryokinesis,hydrokinesis,pyrokinesis,gryokinesis ,electro kinesis,magnetikinesis, etc
 
"List of Kinetic Abilities | Superpower Wiki | Fandom" List of Kinetic Abilities
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…