but haina watumiaji wengi kama ilivyo whatsap..... wamekwama wapi hawa telegram???Kweli bhn telegram wako vizuri kushinda hata whatsapp kwa vitu vingi saana
Mafaili ukubwa na ubora
Makundi ku accomodate watu wengi
Na mambo kadha wa kadha
Sent from my iPhone using JamiiForums
sawa sawa mkuu.... ina maana hii ndio ina wafelisha telegram kuruhusu app iwe kwenye pc moja kwa moja sio?siku whatsapp wakirihusu ipatikane kwenye desktop bila emulator wala simu kuscan qr codes basi watakuwa wamepoteza maana nzima ya whatsapp. Its like instagram's official features zinapatikana kwenye simu pekee kama kusoma messages. So kuifanya app ya simu pekee kupatikana kwenye desktop pia kuna uwezekano mkubwa wa kupata FEW INSTALLERS au watu wasidownload kabisa upande wa playstore/appstore maana kitu kinapatikana kwenye pc so kuna haja gani nihangaike na simu? au vice versa.
sawa sawa mkuu.... ina maana hii ndio ina wafelisha telegram kuruhusu app iwe kwenye pc moja kwa moja sio?
kumbe ni wa tz ndio hatuitumii sana telegram kuna wengine ni default app,,,... sawa mkuu ..Kuna nchi ambazo Telegram, inawika sana kama watsupp hapa Tanzania!!! Mfano Kenya Telegram inatumika Sanaa, nchi za karibu kama Tunisia, North Sudan, Misri nk
Kama hiyo haitoshi, kutokana na uwezo wa Telegram kuweza ku share mafail makubwa na kuweza ku accommodate namba kubwa ya members, Basi hupendwa sana na wanachuoo!!!!
Ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app
shukran kwa kunijuza mkuuTelegram Tanzania pekee ndio watumiaji wa kubangaisha,Ila nchi za njee 90% wanatumia kwa biashara hasa investment on crypto unakuta group lina watu 70k,120k,200k nk
Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
Iran pia mkuu.Watu hutumia telegram kupita kiasi yaani.Kuna nchi ambazo Telegram, inawika sana kama watsupp hapa Tanzania!!! Mfano Kenya Telegram inatumika Sanaa, nchi za karibu kama Tunisia, North Sudan, Misri nk
Kama hiyo haitoshi, kutokana na uwezo wa Telegram kuweza ku share mafail makubwa na kuweza ku accommodate namba kubwa ya members, Basi hupendwa sana na wanachuoo!!!!
Ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mRussia huyo alieitengeneza WhatsApp ndio huyohuyo anaemiliki telegram baada ya kumuuzia mmiliki wa Facebook hiyo WhatsAppWakuu kwaninii whatsap iwe inatumiwa sana hali ya kuwa huwezi kuitumia moja kwa moja kwenye pc mpaka uwe an application nyingine au uwe na simu ya whatsap uscan code?
tofauti na telegram ambao unaweza itumia moja kwa moja kwenye pc na simu pia lakin watumiaji weng utasikia kila siku magroup ya whatsap, na hata utasikia watu weka namba nikutumie whatsap na ngumu mtu kusema nikuumie telegram.
natamani whatsap wengetengenza pia desktop ap kama telegram isiyohitaji immulators na sio hii ya kuscan code...
kama ipo nifahamishwe
HakikaTelegram inamilikiwa na Mrusi na Whatsapp ni mmarekani na Marekani anapenda vya kwake viwe juu.
Telegram wako vizuri sana sana