TELECOMUNICATION v/s PC ENGENERING

TELECOMUNICATION v/s PC ENGENERING

Bongoclever

Senior Member
Joined
Jul 30, 2012
Posts
105
Reaction score
11
Msaada kwa hili jamani.
Kati Ya mtu alio soma TELECOMMUNICATION na mtu alio soma PC ENGENERING ni yupi mwenye mshahara mkubwa?
 
Maswali ya kujiuliza kwanza:-
1. Mshahara mkubwa ni nini/upiw?
2. Benefits zimekaaje kwa wote hao wawili?
3. Allowances zimekaaje pia kwa hao wote wawili.
NB: TAFSIRI YA MSHAHARA NA KIPATO NI VITU VIWILI TOFAUTI!
 
Kama wote wana Level moja ya elimu na Experience sawa, mtu Telecom anaweza akawa na kipato kizuri zaidi..... coz wapo wachache compared to Computer Engineers....
 
Mshahara mkubwa unaupima vipi,maana kuna mmoja take home inaweza ikawa 2M then hapo hata akiugua anajitibisha na mwingine anapata 1.5 lakini yeye na familia yake wana AAR sasa wewe kwako hapo mshahara mkubwa ni upi.Ukishafafanua hapo then wadau wanaweza sasa kutiririka
 
Yaani upoteze muda wako wote kusomea PC tu? Au ulimaanisha Computer Engineering?
 
Back
Top Bottom