Je unafahamu kwamba njia rahisi na ya haraka ya kujifunza jambo ni kwa njia ya sauti?Je unajua kwamba unapotazama kitu kwa macho ili ukielewa kinaenda kwenye mfumo wa sauti?Je unafahamu kwamba mfumo wa sauti una uhusiano mkubwa sana na mfumo wa kumbukumbu na mfumo wa kufikiri?
Kwa mujibu wa tafiti,mafunzo kwa njia ya sauti na picha-audio visual yanaweza kumfanya mtu kuelewa kitu kwa haraka zaidi kuliko mafunzo ya vitendo hasa yanapotolewa kwa njia sahihi.
Kwa sasa yanapatikana mafunzo kwa njia ya SIMU katika Masomo yafuatayo:
Ujasiriamali wa Kidijitali
Jinsi ya kuanzisha biashara
Jinsi ya kuandaa CV
Jinsi ya kujianda kwa ajili ya Interview
Jinsi ya Kushinda Msongo na Sononi
Jinsi ya Kufanya Utafiti
Jinsi ya Kuandika Taarifa mbalimbali
Vile vile vipindi vya sauti (Audio Lessons) Zinapatikana katika masomo hayo). Iwapo unahitaji AUDIO lesson au TELE Lesson katika moja wapo ya Masomo Tajwa hapo JUU au somo LOLOTE usisite kuwasiliana nasi na tutakuandalia somo KAMILI ambalo litakuwezesha kuongeza ujuzi na Maarifa yako.
Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kwa simu namba 071032306 au email:masokotz@yahoo.com