Teknolojia ya web 3( blockchain technology)

Teknolojia ya web 3( blockchain technology)

Joined
Jun 10, 2025
Posts
10
Reaction score
2
Jaman watanzania nahamasisha muamko katika teknolojia ya masjala mtawanyiko(blockchain technology ) kwa sababu kuna baadh ya nchi za Afrika zimepiga hatua katika hii teknolojia na zinaitumia katika ustaw wa Jamii na nchi zao,..

Nchi kama Kenya, .Ghana, Nigeria na kadhalika zimesharasimisha matumiz ya Teknolojia hii adhimu

Katika chapisho lijalo nitatoa ufafanuz Japo ni kama muhtasari tu, ..wa nn maana ya web 3 technology ambapo ndio inachagizwa na teknolojia ya blockchain (Au masjala mtawanyiko)
 
Back
Top Bottom