Kipimo cha nuclear ndani ya simu yako..Kifaa cha kuhariri picha kubadilika.. Je Father Christmas ataombwa zawadi za tabiti? Na Je wewe unaweza kuwa mwana anga wa NASA? Bonyeza hapa kuiona Video BBC Swahili - Medianuai - Teknolojia Wiki Hii
Google yalipa mabilioni kuinunua Motorola, Microsoft yafunga ukurasa wake wa kitabu cha mtandao, Blackberry mpya 4G iko tayari, na Jaribio la kuvunja rekodi ya kasi yagonga mwamba. Kuiangalia Video bonyeza hapa
BBC Swahili - Habari - Teknolojia wiki hii