shiumiti JF-Expert Member Joined Jun 4, 2009 Posts 435 Reaction score 19 Jun 6, 2011 #1 Teknolojia inapoingia kijijin kwa mara ya kwanza...mjumbe/balozi wa nyumba kumi ndiye wa kwanza kutumia...... KAZI KWELI KWELI
Teknolojia inapoingia kijijin kwa mara ya kwanza...mjumbe/balozi wa nyumba kumi ndiye wa kwanza kutumia...... KAZI KWELI KWELI
Beso JF-Expert Member Joined May 6, 2011 Posts 216 Reaction score 59 Jun 6, 2011 #2 Ebanaee!!dog nae kajumuika kujirusha na facebook!
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,777 Jun 6, 2011 #3 Siku ingine basi muitumie vizuri hii teknolojia, bandikeni picha na si kutuwekea thumbnail, namna hii:
Siku ingine basi muitumie vizuri hii teknolojia, bandikeni picha na si kutuwekea thumbnail, namna hii:
B bia JF-Expert Member Joined Feb 9, 2011 Posts 257 Reaction score 31 Jun 6, 2011 #4 duh!hayo manyonyo ya bibi yako inaelekea babu hana mchezo,mana kayamaliza yamebaki mamikamba 2
Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,619 Reaction score 4,304 Jun 7, 2011 #5 Naona mzee anabofya!
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Jun 7, 2011 #6 Ahahahaah!!
Sikonge JF-Expert Member Joined Jan 19, 2008 Posts 11,633 Reaction score 6,229 Jun 7, 2011 #7 Nimeupenda mtindi wa huyo Bibi kulia, teteteteeeeee.......
Fayoo Member Joined Dec 21, 2010 Posts 16 Reaction score 2 Jun 9, 2011 #8 Eti huyo ni Mangi sina, kama alivyochukuliwa picha na malaika akiwa peponi
Rungu JF-Expert Member Joined Feb 23, 2007 Posts 3,932 Reaction score 1,727 Jun 9, 2011 #9 Ao jamaa wanavyoishobokea hiyo skrini wanaonekana lazma walikuwa wanaangalia jukwaa la picha (yaani Jamii Photos) alafu wakajishtukia picha yao iko huko. Kudaadadeki!
Ao jamaa wanavyoishobokea hiyo skrini wanaonekana lazma walikuwa wanaangalia jukwaa la picha (yaani Jamii Photos) alafu wakajishtukia picha yao iko huko. Kudaadadeki!