Teknologia inarahisisha mambo!!!

sijakusoma nieleweshe

chukulia zamani wakati wa mtandao mmoja tu wa mawasiliano [TTCL] wire zilivyokuwa zimetanda njiani, lkn leo tekinolojia ya wireless imerahisisha mambo na hiyo picha inaonyesha...
nadhani hapo utamalizia kama umenielewa!
 
zamani mlitumia waya ndege wakapata pakupumzikia sasa mmekuja na teknolojia ya waya les nao wamekuja na teknolojia ya kutua juu ya wayales.

hapo nadhani tutakuwa pamoja.:lol:
 
zamani mlitumia waya ndege wakapata pakupumzikia sasa mmekuja na teknolojia ya waya les nao wamekuja na teknolojia ya kutua juu ya wayales.

hapo nadhani tutakuwa pamoja.:lol:

πŸ˜›oaπŸ˜›oaπŸ˜›oa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…