Teknohama

Macho yake, na hilo kovu chini ya jicho lake la kushoto.

Jibu unapata, jamaa ni cha Pombe
 
Anatimiza usemi wa kazi na dawa!
 
Yaani anakunywa kwa kutumia device ya usb!Mdomo wake ni usb port! Hahahaha ama kweli jamaa ni mtaalamu wa teknohama!
 
Macho yake, na hilo kovu chini ya jicho lake la kushoto.

Jibu unapata, jamaa ni cha Pombe

Duh...huyu bila shaka ni wa kutoka ROMBO....tehtehtehtehteh
 
Tube ina stopper waweza stop na regulate flow ya mvinyo wakati wa kunyonya🙄.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…