hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 540
Hhh uyu anatafuta kifo uraiani
Nine Trey Bloods gangHhh uyu anatafuta kifo uraiani
Daaah sure jela kule wanamua mzeeNine Trey Bloods gang
takeshi hapo amezingua itakua wamembana ili wampunguzie miaka,,sasa hapo ni kisanga akienda jela snitch chamoto atakiona uraiani nako msala......
Eeeh b4 ili zari...50 alkuwaanamchukulia mchizi kama mwanae ila sasa kasema hataki atakuskia call ya mwana akitoka jelaHuyu chalii alikuwa na moto sana, namuona kama uhuni wake anaigiza tu ila sio gangsta kutoka moyoni!
Miaka 47 ni yamoto kuliko kutoka jela upigwe na mk47 kwa kusaliti wana??Sema miaka 47 sio ya kitoto asee
Ni kweli 50 alimpa nafasi kubwa sana naona alimchukulia kama mdogo wake! Ila jamaa huko atakuwa kafinywa sio kidogo mpaka kaona bora a-snitch tu lolote na liwe!!Eeeh b4 ili zari...50 alkuwaanamchukulia mchizi kama mwanae ila sasa kasema hataki atakuskia call ya mwana akitoka jela