teh teh teh

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
Police:unaishi wapi?
John:na wazazi wangu
Police:wazazi wako wanaishi wapi?
John:wanaishi na mimi
Police:Nye wote mnaishi wapi?
John:tunaishi pamoja
Police:nyumbani kwenu wapi?
John:karibu na kwa jirani yetu
Police:kwa jirani ni wapi?
John:nikiwaambia hamtaamini
Police:tuambie tu
John:karibu na kwangu.
 
Mwalimu:Nani hapa darasani anadhani ni mjinga?(hakuna aliyesimama)
Mwalimu:najua kuna wajinga wengi hapa darasani
mara mwanafunzi mmoja akasimama>
Mwalimu:hehehe kumbe we ndo mjinga!
Mwanafunzi (aliyesimama):najisikia vibaya umesema mjinga asimame halafu umesimama mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…