AMECHOKA KIAIRI NA KIMWILI, ndo maana ameomba msaada wakusaidiwa kuzungumza na mawakala, maana hata anayoongea ni mambo ya kikatuni-katuni, Ukiona Mheshimiwa hapewi nafasi ya kwanza kwenye media ni ISHARA kua watu wako bored.
kwa kweli nimeshangazwa na jinsi mheshimiwa alivyolewa madaraka mapema hivi! katika article kwenye gazeti la mwananchi anasema... unajua mimi ni nani?....sintomsamehe hadi awajibishwe!
Funzo: natamani ifike siku ambapo wananchi nao watakapo wauliza viongozi...mnajua sisi ni nani? hatuwasamehi kwa madudu yenu mlofanya mkiwa madarakani hivyo mmepoteza sifa za kuwa viongozi na pale inapobidi watupwe "guantanamo".