Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,435
- 1,195
Maneno ya kushindwa ayo mkuu
Seriously mkuu mbona mwenzio juz kapata bandoKama serious mi nitajibu
[emoji3] [emoji3] [emoji4] [emoji3]sura ya diamond
HahahaNgoja nimtafute jecha aje akujibu...
Nimetengeneza lakini hakionekaniSeriously mkuu mbona mwenzio juz kapata bando
Zoezi limekushinda mkuu fikirisha kichwaNimetengeneza lakini hakionekani
MhFaru John.
Na wewe si utegue mkuu ?Zoezi limekushinda mkuu fikirisha kichwa
unaweza kutengeneza kifo na ukakiona..?kifo
jenezaUkiambiwa utengeneze kitu ambacho mtu yeyote akikiona.,wakati anahuzuni afurahi gafla na akikiona wakati ana furaha ahuzunike gafla utatengeneza nini? Au kitu icho ni nini? Karibu Sana upate vocha
basi ni helaunaweza kutengeneza kifo na ukakiona..?
ha ha mtu akiwa na furaha ukimuonyesha hicho kitu anahuzunika what do you think..?basi ni hela