Tegeta Nyuki - Bahari Beach - Ujenzi wa Barabara na MATUTA! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tegeta Nyuki - Bahari Beach - Ujenzi wa Barabara na MATUTA!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Obuntu, Feb 3, 2011.

 1. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Katika pitapita zangu jana nilibahatika kufika maeneo ya Tegeta na kwa kuwa niliambiwa kuwa mida ya jioni saa 12 hadi saa 2 usiku kuna foleni kubwa Tegeta Kituoni niakaamua kupitia barabara ya "kuzungukia" maeneo ya Bahari beach na kutokezea Tegeta Nyuki.

  Takribani miezi mitatu iliyopita hii barabara ilikuwa "rough" sana lakini majuzi niliambiwa kuwa imewekewa kifusi na inapitika vizuri!

  Ambacho kimenishangaza katika hii barabara ni kuwa baada ya kuchongwa na kuwekewa kifusi wakaazi waliopo kando kando ya hii barabara wao wamejitolea kuweka "road bumps" wenyewe! Na kinachoshangaza zaidi hizi "road bumps" zipo kila baada ya mita kama 5 hivi kutoka moja kwenda nyingine!

  Sifahamu ni kwa nini wameamua wao "kuisadia" serikali katika kutimiza wajibu wake, tatizo langu ni kwanini wao wameonelea "road bumps" is all that they can contribute on na ziwe karibu karibu kiasi hicho!

  Nawasilisha

  Obuntu
   
Loading...