Rehemadick
Member
- Aug 11, 2017
- 8
- 2
Tecno Y4 Nimezoea nikibonyeza kwenye screen inatoa mwanga ila Jana charge iliisha kabisa nikaiweka niicharge ila nilipobonyeza kwenye screen haitoi mwanga mpka nininyeze kwenye batani zake za pemben.
Nini tatizo nisaidien wataalam
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini tatizo nisaidien wataalam
Sent using Jamii Forums mobile app