Mods nimekosea Jukwaa naomba mnihamishie kwenye jukwaa la matangazo
Sa km haijawah kuwashwa tunaikunaje mkuu m?Mkuu mbona kawaida..halafu ni mpya kabisa haijawahi kuwashwa...au wee umejipangaje huko
Nenda kwny jukwaa la matangazo madogo madogo mkuu utasaidiwa vizur huk watakuzingua tuuMkuu nasikitika kuona hupo serious!!