Tecno wame partner na Actor Chris Evans wengi wanamjua kama Captain America kutoka Marvel Cinematic Universe

Tecno bado bado, shida siyo kuwa mchina shida ni ubora. Hata Huawei ni mchina lakini simu za Huawei zilikuwa top notch. Xiomi mchina lakini flagship zake ni top notch.
Sasa tecno sasa...
Ila taratibu baada ya kukamata soko Africa na baadhi ya nchi za Asia, nadhani sasa watabadilika kukamata soko la western.
Hawa Tecno Asia wamekamata nchi gani na gani?..
 
Hawa jamaa tunawadharau lakini wanaondoka tu na vijiji..Africa kashamaliza kukamata.
Business Model yao ni nzuri. Kuna mzungu flani alikuwa anazungumzia kuhusu research akawatolea mfano kuwa hawa walitafta ni nini waafrika tunataka kwenye simu, mwanzo wakagundua tuna line zaidi ya moja, tunahitaji simu zikae na chaj na miziki. Wakatoa simu za hivyo zikiwa na blutooth, wakaenda wanaboresha kutokana na mabadiliko.
Yani stages zao za mabadiliko zinaendana na soko halisi la afrika.
 
Ila chris Evans kajidhalilisha,ni sawa na kaenda CCM tu mavimavi
Mkuu yaani mtu na akili zake aache kupokea million dollars kisa aogope kujidharirisha seriously?
Yaani kupokea million dollars from a billion dollars company unaita kujidharirisha for real?

Ile ni company na sio ccm. yaani a billion dollars company unaifananisha na ccm?

well it's your opinion.
 
Bro I know.....nmeandika kuchangamsha jukwaa tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom