Tecno w4

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
678
Reaction score
196
Wakuu naomba kufahamu hili kwenye Tecno w4 ukiangalia kwenye storage ram inaonekana ni 425 na ukiangalia kwenye developer options(running service)free ram ni 638 hii wakuu imekaaje!
 
Surplus na free ram ndugu unachanganya tu

Ukiangalia hii picha ya pili
System + apps + free = 76% ya picha ya kwanza then inayobaki ndo surplus thanks..

 
Naomba kufahamishwa maana ya surplus
 
Kwa kifupi, Africa hakuna kitu kinaitwa Surplus labda Kwa wazungu. Kwasababu tunazalisha kwaajili ya kula tu na bado haitoshi tunachozalisha.

Nakushauri uwaulize TECNO wameyatoa wapi hayo maneno kwa hapa Tanzania. Lasivyo simu yako italipuka muda wowote.
 
Kwani Tecno zinatengenezwa hapa tanzania au nchi gani hapa afrika!
 
ha haaaaa............ jamaa una mikwara
 
hizi simu huwa zina tatizo la ku stuck mara kwa mara hasa hasa mtumiaji aki install instagram bac iyo simu kuwa na mkwamo ni lazima alafu na kupata joto kali mnoooo utazani ina gesi ndani
 
hizi simu huwa zina tatizo la ku stuck mara kwa mara hasa hasa mtumiaji aki install instagram bac iyo simu kuwa na mkwamo ni lazima alafu na kupata joto kali mnoooo utazani ina gesi ndani
hahahaha ndio maana ikaitwa 'tekno'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ