SELE Signal Member Joined May 22, 2016 Posts 15 Reaction score 5 Sep 28, 2017 #1 Habari zenu, Simu tecno W3 imezima ikiwa inachajiwa ni nini suluhisho lake mwenye kujua.
kancarl JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 1,323 Reaction score 728 Sep 28, 2017 #2 peleka tecno store hope warranty yake bado haijaisha
Mtoboatonge. JF-Expert Member Joined Apr 16, 2013 Posts 243 Reaction score 74 Sep 28, 2017 #3 Imeungua hiyo
mair erasto JF-Expert Member Joined Jul 13, 2016 Posts 413 Reaction score 426 Sep 28, 2017 #4 W3 hizo simu zimekuwa ni mbovu isivyo kawaida.