Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,221
- 2,425
Toleo jipya la Simu Toka TECNO iliyoweza kuzinduliwa Mwezi June Mwaka huu ambapo ni TECNO spark 40 imekuja ikiwa na muonekano wa kipekee sana.
Ni Simu nzuri kwa vijana wanaokwenda na wakati unaweza kutumia fresh bila shida yoyote kwani iko very sleekness & fantastic style. Kubwa zaidi ni muonekano wake wa nyuma uko vizuri mno pamoja na kamera kwa ujumla iko poa 📸.
Tecno spark 40:
✔️ Processor ni MediaTek Helio G200
📸 Kamera 50mp
⚡ Storage 128Gb Ufs 2.1 + Ram 4GB extended to 8GB
🎁 Android 15 with HIOS 15.1
🗡️ TECNO Ai
🔋 Battery 5,200mah
Lakini ukiangalia muonekano wake wa nyuma ni kama IPHONE 17 Pro Max ambayo inatarajia kutoka mwezi Septemba mwaka huu lakini TECNO wao toleo jipya la TECNO SPARK 40 imeshaanza kupatikana madukani kuanzia mwezi huu wa Saba.
Sogeza picha kuona zaidi 👋.
Je ni nani kamuiga mwezie TECNO AU IPHONE tuachie maoni yako?