Tecno tena, Win pad 2in1,na Droid 8 tablet hatariii

Dumelang

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
3,274
Reaction score
5,938
Kwa wapenzi wa brand ya tecno, kafanikisha vitu vya hatari, mmeviona?

Katoa tablet inaitwa Droid pad 8 au maarufu kama tecno 8H tablet safi sana niliiona Arusha kwa tsh 350000/= Google uone specifications
Picha

Ukiiona utaipenda aisee, sipigi promo

Angalia hapa specs kidogo.

Sasa iyo ni moja mwisho ni Win Pad 10, 2in1 inaitwa two in one kwasababu ni laptop na pia tablet


Inakuja na windows 8.1 upgradable up to Windows 10


Imetengenezwa kwa ushirikiano na Microsoft ikitumia cheap za intel


Unaweza ku Google ukaiona na sifa zake zote, hii tablet/laptop imenikosha kwakweli

I can't wait to grab it on my hands

NOTE
Hii Win pad 10 sijaiona isipokuwa kwa msaada wa google

NIMELETA UZI SI KUTOA PROMO ILA KUWAJULISHA TECNO FUNS KUWA NDG YETU KAWEZESHA TENA NA SASA KWA UKARIBU KABISA NA MICROSOFT

TECNO WANAKUA
 

Attachments

  • 1436888584803.jpg
    18.5 KB · Views: 574
Tecno hatengenezi simu wala tablet unless mtu alete ushahidi WA headquarter na factory zao zilipo.

Ninavyofahamu hawa jamaa wanabrand tu vitu. Kuna kampuni zinatengeneza hivyo vifaa halafu wao wananunua na kueka jina.

Even wewe ukiwa na dola zako 10,000 mpaka 20,000 tunaenda china tunarudi na mzigo.
 

Ahsante kwa Taarifa Mkuu.

Lakini naomba unisaidie na hili la pili, naweza pata wapi kioo cha Htc One X kwa bei nafuu na ikiwezekana nitajie kabisa bei.

Pia nina PC yangu ni Dell Studio imeharibika kifaa kinacho konetki Hard Disk na Processor kama cjakosea pia naweza kipata wapi hapa Dar?
Karume nimeenda jaribu kukitafuta lakini nimeshindwa kipata.

Naomba msaada wako Mkuu.
 
Mkuu Dumelang hiyo price nahisi umekosea

Iyo Droid pad 8 cjakosea mkuu ni laki tatu na hamsini niliikuta arusha, na pia nilipo Google bei ya kenya na Nigeria ina range hapo hapo

Wewe mkuu euphoria unajua bei gani? Na sijafika dar hivi karibun sijui zipo
 
Last edited by a moderator:
Iyo Droid pad 8 cjakosea mkuu ni laki tatu na hamsini miliikuta arusha, na pia nilipo Google beibya kenya na Nigeria ina range hapo hapo

Wewe mkuu euphoria unajua bei gani? Na sijafika dar hivi karibun sijui zipo

Nilikua na wasiwasi coz nikiangalia specifications zake ziko poa sana alafu bei ndogo sana
 
Last edited by a moderator:
So tecno ni clone

Aisee sie tunajua ni simu za tecno, hayo mengine ya Chief-Mkwawa kwake tecno huwa ni mbaya tu hata leo wakija na vitu vikali, ingwa najua hata akina samsung ni Made in china devices assembled in Korea
 
Last edited by a moderator:
Dumelang' inaonekana ni mpenzi wa tecno, maana ake ulivyoipaisha utadhani 'sales manager'. just kidding 😆
 
Dumelang' inaonekana ni mpenzi wa tecno, maana ake ulivyoipaisha utadhani 'sales manager'. just kidding 😆

Unajua tecno ni kama machinga, sisi masikini ndio kwetu

Rejea nyimbo ya marehemu Mr Ebo anasema asante machinga si masiki tunaishi.. 😀
 
Unajua tecno ni kama machinga, sisi masikini ndio kwetu

Rejea nyimbo ya marehemu Mr Ebo anasema asante machinga si masiki tunaishi.. 😀

😆😆sawa bw Dumelang
 

nenda aggrey na msimbazi kama unaangalia uhuru upande wa kushoto ulizia maduka ya display za simu yapo kibao pale, kwa rich, kwa victor nk

kuhusu laptop ninavyofahamu mimi vyote processor na hdd vinaunganishwa na motherboard hivyo unavyosema waya/kifaa kinachotoka kwenye processor hadi hdd hapo sjaelewa.

au unamaanisha connector/waya toka hdd hadi kwenye motherboard?
 
Unajua tecno ni kama machinga, sisi masikini ndio kwetu

Rejea nyimbo ya marehemu Mr Ebo anasema asante machinga si masiki tunaishi.. 😀

kaka hii tablet ya windows inaitwa win book inauzwa marekani dola 60 (shilingi 120,000)inarun full windows, japo ina inferior specs kama 1gb ram lakini inatumia same processor sawa na hio tecno.


nimeicheki hio tablet ya tecno inauzwa naira 57,000 kama 580,000 za tanzania. niambie wewe tecno ni mkombozi wa wanyonge? anauza vitu bei rahisi?

even kina asus, lenovo,hp na toshiba wana tablet za internal 32gb na ram 2gb zinazorange dola 150 hadi 200 (shilingi laki 3 hadi 4). build quality ya tecno huwezi ifananisha na ya asus au hp au dell au lenovo na still vya kwao ni bei rahisi kuliko over priced tecno ila sababu hatufikirii tunaziba macho na masikio na kusema vitu vya tecno ni bei rahisi.

mimi nilishaacha kucoment kwenye thread za tecno sababu haina maana ku reason na mtu asietaka kuelewa kilichonivutia hapa ni huo usemi wako kuwa sasa hivi tecno anafanya patnership na microsoft kutengeneza tablet hivyo tueke mambo sawa hapa.

1.kuna windows
2. kuna windows with bing

hio windows with bing ndio ipo kwenye hii tab ya tecno na pia ni bureee kwa tablet za inch 10 kushuka chini, hivyo hakuna mambo ya genuine wala key wala activation linapokuja suala la windows with bing thats why unaona siku hizi kila kampuni inatengeneza tab za windows.

Windows 8.1 with Bing is free for OEMs despite initial $10 charge | Windows Central
 
Kaka Mkwawa habari vipi?
mashine hii ya tablet ya windows win book..
Hapa Tanzania imeshafika? itakuwepo mtaani labda kama unajua inaweza kuwa inapatikana maduka gani kwa msaada.
 
Kaka Mkwawa habari vipi?
mashine hii ya tablet ya windows win book..
Hapa Tanzania imeshafika? itakuwepo mtaani labda kama unajua inaweza kuwa inapatikana maduka gani kwa msaada.

si rahisi kuja huku kaka, sababu wafanya biashara wetu wengi ni waoga wa kujaribu vitu vipya. labda ununue online au utafute mtu anaetoka nje umuagizie.
 
Chief, hivi tab yenye windows inaweza run softwares zilizokuwa designed kwa ajili ya comp kama statistical packages au accounting packages?
 
Chief, hivi tab yenye windows inaweza run softwares zilizokuwa designed kwa ajili ya comp kama statistical packages au accounting packages?

Yap inarun software yoyote ya windows cha muhimu uangalie system requirements ya hio software.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…