mr_penguin
Member
- Jul 5, 2018
- 31
- 23
Nauza tecno k7 ram 1gb storage 16gb finger print supported back camera 13mpx front camera 5mpx flash mbele na nyuma kazi kwako bei 170,000....kama upo serious nichek 0716385824..napatikana dar
Bado ipo, wapi ulipoNauza tecno k7 ram 1gb storage 16gb finger print supported back camera 13mpx front camera 5mpx flash mbele na nyuma kazi kwako bei 170,000....kama upo serious nichek 0716385824..napatikana darView attachment 929844View attachment 929846
Ipo mkuu nipo posta city center mkuuBado ipo, wapi ulipo
Ina tatzo gani?Ipo mkuu nipo posta city center mkuu
Haina tatizo lolote simu bado mpyaIna tatzo gani?
Kanunue kitochi umpigie mama ako akuongezee hela ya kununulia smartphone50 Ipo Hapa
MI niko chalinze Nina laki moja sitaniiHaina tatizo lolote simu bado mpya
Poa panda basi uje uchukue mali ya mwanaume kwa punguzo la beiMI niko chalinze Nina laki moja sitanii
Sijakuelewa bossPoa panda basi uje uchukue mali ya mwanaume kwa punguzo la bei
Ukija ndo utaelewa vizuri ntakupaka mafuta kabisa wala usijari na tecno utaondoka nayo kiulainiSijakuelewa boss
Duuh nilipoongea nina laki sikuwa na maana mbaya nilitegemea ungeniambia ongeza kiasi flani ila poa usjaliUkija ndo utaelewa vizuri ntakupaka mafuta kabisa wala usijari na tecno utaondoka nayo kiulaini
Jibu murua kabisa kuna watu wana kusudi sana biashara za watu yaani from 170 to 50 kwakweli anastahili tu hiki kitu konqKanunue kitochi umpigie mama ako akuongezee hela ya kununulia smartphone