Tecno Spark-4 inauzwa

Kwa wenye uchumi mdogo ukiona unatabia ya kushindana na viwanda vya simu andika umeumia,mara iPhone x,mara xiomi mara....oohoo.Mwisho umaskini huu hapa ...lakini ngoja waje maana ni bei nzuri.Lakini kwanini huitaki? Inashida gani?.
 
hapana nmeamua tu Kuna infinix nmeipenda nmeona nkachukue lakini ngoja niuze hii kwanza maana itakuwa uchafuzi wapesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…