Sio kweli na wala hiyo simu haijadukuliwa hiyo ni ishara kama umefungua camera ni kuwa camera ipo in use, the same kama umepiga simu, kupokea simu au kurecodi sauti pia itawaka kuonesha mic ipo in use
Ni dalili mbaya mfano ukiclose app zote kwenye background na bado ikaendelea kuwaka hapo kuna hali si shwari mfano mimi nilikuwa na block microphone na camera everytime situmii hivyo simu ikiita naruhusu ikikata nazima