Mi sijaisikia hio android 5.2, maana google hajaitoa, ilivyotoka 5.1 moja kwa moja watu wakaenda android M (marshamallow) aka android 6.
Muanzisha nada hebu tuambie hio android 5.2 ipoje?
Na update ya h na h+ hio Ni gimmick sababu kinachosuport aina Fulani ya network Ni modem ya simu (hardware) hivyo kusema umepata update ikaongeza h inatia mashaka
Na kufix hizo bugs imefix nini?
Kampuni isio na ofisi anaetuma hizo update Ni nani?
Yah hizo Ni update za kawaida za skin ya tecno (sijui initwaje) na si update za os yaani android.
Though sio mbaya ILA bado sana
kwa budget ya 100,000 unakuwa huna choice kubwa sana ushauri wangu tafuta simu ambayo ina ruzuku za mitandao ya simu kama tigo, voda, halotel na airtelSmart bro...
Upo vizuri sectio hii..
Nahitaji simu ya 100,000 simple iwe smart phone android camera 2
Chief please advice
Daaaaah Mi mpaka Sasa Hivi Samsung Hawajanipa OTA ya Note 3 N900 ila Kwa Note 3 N9005 Nimeona Tayari Wana Update ya Lollipop 5.0Yah hizo Ni update za kawaida za skin ya tecno (sijui initwaje) na si update za os yaani android.
Though sio mbaya ILA bado sana
kwa budget ya 100,000 unakuwa huna choice kubwa sana ushauri wangu tafuta simu ambayo ina ruzuku za mitandao ya simu kama tigo, voda, halotel na airtel
na sasa hivi kuna offer za sikukuu unaweza pata simu nzuri kidogo. zunguka maduka ya hio mitandao then angalia kama utapata
ila hakikisha kwa android usishuke chini ya 1gb ram, japo itakuwa ngumu kupata ila ndio uhalisia.
Daaaaah Mi mpaka Sasa Hivi Samsung Hawajanipa OTA ya Note 3 N900 ila Kwa Note 3 N9005 Nimeona Tayari Wana Update ya Lollipop 5.0
Asante bro..
Kuwa safe budget inatakiwa ifike kwa kama 200K hiv?
thank you thanbk y ou brojinsi inavyoongezeka ndio jinsi ujavyokuwa na simu nyingi za kuchagua.
kwa 2016 cha muhimu hakikisha simu yako ina 4g, ram atleast 1gb, processor ya 64bit au kama ni 32bit iwe highend.
Why people relying on blogs and opinions from others? Kila mara nasema hizo sababu za kawaida saaana, eti mediatek, eti tecno hawana kiwanda, sijui haipo gsmarena. Hivi ni viji sababu masikini sana nilishatumia tecno na simu zingine . Tecno ni simu kama ilivyo huawei, samsung htc . Kwani lazima ulinganishe P3 na S4?
Kama ni processor , MTK ni popular (naomba wazee wa micro-electronics wanikosoe) na imetumiwa na HTC,HUAWEI,SONY,HISENSE etc etc. So issue ya Mtk sio sababu
Huu uandishi huu haya tuTECNO ipo gud bt tatizo n update m nackia for Dat first time kutoka kwako bt cyo tecno zte cna upda
Official tecno c8 kupata update ya mashmalow au Android 6.0 February mwakani,
Sijui mtasemaje maana hii inatumia chip za mediatek na mlikua mnasema mediatek hazipati update!
Huwezi kufananisha Toyota Carina na mnyama Toyota brevis ni kwelihuwez fananisha Vitz na harrier ingawa yote ni magar...
Hio ndio version ya mwanzo ya lolipop. Kama upo lolipop na ukapata lolipop ilitakiwa iwe 5.1 ambayo Ni refresh ya lolipop kabla kuja 6
Asante [emoji106] [emoji106]masoko muhimu kama usa, china, korea nk wanakuwa na version zao tofauti wakati sisi wa international tunakuwa na version yetu ambayo siku zote inakuwa ya mwisho mwisho kupata updates
jaribu kucheki updates na kies
nenda setting then about then software updates angalia kama ipo, kama hakuna download kies kwa pc then tumia hio kuangalizia updates.@Chief-Mkwawa sorry natumia sumsung Grand prime ina android version 4.4.4 Kitkat but nataka kuiupdate iende kwenye lollipop ila sijui jinsi ya ku update, naomba unielekeze Jinsi ya ku update kama hutojari.
ok thanks ngoja nifanye hivyonenda setting then about then software updates angalia kama ipo, kama hakuna download kies kwa pc then tumia hio kuangalizia updates.