1. ngoja ipate kwanza mimi siwezi comment lolote kuhusu hilo sababu hata source hujaweka
2. kama ni kweli inapata, hio ni weakness moja tu imetatuliwa kuna nyengine nyingi still haitabadilisha maanuzi yangu na kile ninachoamini
Kaka vipi kuhusu Lumia 465
sijawahi iona hii lumia, au unamaanisha 435
Ndo hiyohiyo kaka, maana nafikiria kununua tecno ila majibu ya hapa yamenivunja moyo,,,so nafikiria hiyo Lumia....bei yake ni tsh.195،000
Ningetamani sana #Chief-Mkwawa uendelee na orodha maana hata mm nimechoshwa na hizi tecno kwa kweli..napenda simu yanye camera nzuri,ram kubwa,prosessor yenye uwezo mzuri..sifa nyingine iwe ya line mbili.tafadhali mkuu naomba ushauri wako.vitu vizuri vya hio simu
-ina ram 1gb
-inapokea updates na itaenda windows 10
-bei yake rahisi sana unaipata hadi 150,000 ukiitafuta vizuri.
-ipo smooth muda wote sababu ni windows phone, na itakaa miaka mingi bila kuwa outdated
vitu vibaya vya hiyo simu
-processor yake ni ndogo na haina 4g
-camera yake ni 2mp tu
-baadhi ya games na apps haina sababu inatumia windows phone
ushauri wangu angalia kwanza kama utaipenda windows phone, kama kwako ni ok ni simu nzuri sana hasa kwa budget hio ya 150,000 ikiwa mpya.
ila kama unaweza kuongeza budget around 200,000 hadi 300,000 tafuta simu ya snapdragon 410 utapata simu nzuri yenye 4g, processor nzuri ya 64bit, gpu nzuri, ram kubwa nk mfano wa simu hizo ni kama
-galaxy core prime,
-huawei y550,
-motorola moto E lte,
-xiaomi redmi 2
vitu vizuri vya hio simu

Xiaomi hapa dar zinapatikana wapi?

Nilishausema kwenye thread yake, processor yake Ni ndogo sana kwa bei yake ya 700,000 hadi 800,000. Zipo simu nzuri sasa hivi ambazo zina bei karibia na hio, simu kama LG g4 zimeshafika price tag ya $350 hadi $400
LG G4 Tanzania inauzwa 1,200,000...
hao ni wale wenye stock za zamani, lg g4 ilishashuka around dola 400 au chini ya hapo mda mrefu tu.
Kati ya huawei y625 na huawei y550 kwa sasa ipi inakua bora zaidi ya mwenzake? Maana y 625 haina 4G
Kwanini kenya hakuna watu wengi kama Tanzania lkn hawa makampuni ya simu wanakimbilia sana huko? Maana hata tecno ikitoka jua nchi ya kwanza na uzinduzi ni kwa akina igwe kisha kenya.kuna jamaa anaziuza humu jukwaani 350,000 anaitwa deogan
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/917461-xiaomi-redmi-2-prime.html
ila soon wataanza kuuza simu kenya officially so zitadrop price
Kwanini kenya hakuna watu wengi kama Tanzania lkn hawa makampuni ya simu wanakimbilia sana huko? Maana hata tecno ikitoka jua nchi ya kwanza na uzinduzi ni kwa akina igwe kisha kenya.
Why kenya? Why nigeria? Wakati sisi tuna population kubwa kwa market ya simu zao compared to kenya.
Mkuu ahsante ila leo umeleta tena mpya hapa Xiaomi ni nzuri kuliko Samsung?1. kenya wapo milioni 45 (data za 2014) hivyo ni kama sisi tu linapokuja suala la population
2. wao wanajielewa kuliko sisi na watakua wananunua zaidi apps kuliko sisi sababu manufacture hawapati tu hela kwa kukuuzia hardware bali pia software.
uelewa pia unawasaidia xiaomi sababu ili mtu ajue kama xiaomi ni nzuri kuliko tecno na samsung inabidi huyo mtu awe na kielimu kidogo. nchi zetu hizi ni risk unaweza leta simu nzuri na still watu wakanunua tecno na samsung sababu watu wanafanya vitu kwa mazoea
kwa low end? ndio ni wazuri zaidi ya samsung na hata flagship ya xiaomi inakuwa bei sawa na midrange za samsung.Mkuu ahsante ila leo umeleta tena mpya hapa Xiaomi ni nzuri kuliko Samsung?
Maelezo pls mkuu.