Mjasiria Akili
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 823
- 372
kuna aliyewahi kuishika hiyo phantom A3 au angalau kuiona dukani tu?? maana nimehangaika dar yote hamna hiyo kitu. na miezi kibao imepita tokea watangaze wametoa hilo toleo
kuna aliyewahi kuishika hiyo phantom A3 au angalau kuiona dukani tu?? maana nimehangaika dar yote hamna hiyo kitu. na miezi kibao imepita tokea watangaze wametoa hilo toleo
.
Soon zitapatikana kiurahisi tu mara watakapo timiza mipango yao ya kujenga industry NAIROBI
.
jamaa wana speed ya ajabu sana
from HONG KONG to AFRICA
.
Alafu kuna mtu niliona anadai TECNO hawajurikani wapo wapi...
.
In short TECNO wana main industry HONGKONG CHINA na wame target kuiteka AFRIKA baada ya kulipotezea bara la asia....
.
Kwahiyo kiongozi availability ya upatikanaji wa simu za TECNO itaongezeka mara watakapo timiza azma yao ya kujenga viwanda kenya na NIGERIA
.
Yaani simu utasikia imetoka leo afu kesho ishatua bongo

mimi hapa ndio ninaebisha niambie vitu hivi maana nimevitafuta nimekosa.
1. ceo wao
2. headquarter ilipo
3. hivyo viwanda vilipo
(source za uhakika)
na unaponiambia wana kiwanda kikubwa hongkong napata was was zaidi bora ungesema china mainland. hongkong ni kama unasema new york au london. kipande kimoja tu cha ardhi ni mabilion ya hela. si apple wala samsung wanaweza afford kueka kiwanda kule je mwenzangu na mimi tecno kawezaje?
about the non affordable cost of the peace of land in hongkong sielewi ila TECNO have orginated from hongkong kutoka 2006
.
And now they have smartphones built in ETHIOPIA africa......
About CEO i didn't know any thing except their vice president
.
Chinese mobile phone company Tecno explains why it only does business in Africa
.
The company started in 2006 in Hong Kong with our first research and development centre in Shanghai, China. For two years, our business focused on the South Asia market. After studying the markets in South East Asia, Africa and Latin America, we found out that Africa would be the most lucrative market for us. We began operations here in 2008 before eventually stopping our business in Asia to exclusively focus on Africa.