habari ,
siku za hivi karibuni,nimekutana na matangazo mengi kuhusu simu tajwa hapo juu,nimeona baadhi ya watu wakisifia kama zipo poa esp phantom 6 ambayo inaonekana kama ishaingia katika soko la Tanzania.
Naomba wenye uzoefu na simu za tecno au wanaotumia simu tajwa hapo juu ,wanipe maoni yao kuhusu simu husika..