Tecno p5 na h6 ipi bora zaidi?

CEYLON

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
314
Reaction score
151
Wana jf,ninataka kununua simu ambayo inasuport whatsap na instagram,sasa kuna jamaa kaniambia ninunue sim kati ya hizo mbili,je ni kweli zinasuppurt huduma hizo?
 
Zote ni nzuri ila H6 ni nzuri zaidi kwakuwa ina operating system mpya ambayo ni Kitkat na la Muhimu zaidi ina kasi sana na uwezo zaidi ya P5 na kuna jambo hapa P5 za sasa sijazipenda bora za Mwanzo. Mengine google uone tofauti kati ya P5 na H6, natumia P5 za mwanzo kabisa ila H6 nilimchukulia mzee wangu iko poa sana
 
H6 ndo mpango mzima inakaa na chaji mda mrefu sana
 
Wana jf,ninataka kununua simu ambayo inasuport whatsap na instagram,sasa kuna jamaa kaniambia ninunue sim kati ya hizo mbili,je ni kweli zinasuppurt huduma hizo?

Mi sikushauri ununue tecno yoyote..tafta brand ya maana...
am sure utakuja tena humu jf ukilia kutaka msaada wa hzo simu..believe or not.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…