Tecno mobile Mega Thread

kununua simu 1.6M wakati laptop high quality hp unanunua kwa 1.3M huo ndio ujinga wa kununua jina na sio bidhaa. hadi sasa simu ghali.kabisa ya tecno bado haifiki hata nusu ya simu ghali ya samsung.
 
kununua simu 1.6M wakati laptop high quality hp unanunua kwa 1.3M huo ndio ujinga wa kununua jina na sio bidhaa. hadi sasa simu ghali.kabisa ya tecno bado haifiki hata nusu ya simu ghali ya samsung.

even tecno hio ya bei ghali still inapitwa na laptop ya bei sawa na hio tecno. mfano tecno ya 400,000 na laptop ya 350,000 still laptop itakuwa na nguvu.

na hio laptop ya 350,000 inapitwa mbali sana na desktop la laki 2.

na nakubaliana na wewe kuwa kumiliki simu ya bei ghali wakati huna laptop nzuri haimake sense
 
mkuu ni desktop ya aina gani na ina specs zipi inayouzwa laki 2? ni mpya au used naomba unijibu tafadhari nataka nikanunue
 
mkuu ni desktop ya aina gani na ina specs zipi inayouzwa laki 2? ni mpya au used naomba unijibu tafadhari nataka nikanunue

desktop za core 2 duo brand yoyote ile zinauzwa bei hio kkoo. ila ni za kizamani nunua kama huna uwezo wa ku afford pc ya kisasa.
 
mkuu ni desktop ya aina gani na ina specs zipi inayouzwa laki 2? ni mpya au used naomba unijibu tafadhari nataka nikanunue

suala liko hivi... computer yoyote yenye cpu ya core2duo/pentium dual/core ix series/core ix vPro series etc... angali computet yenye inaonekana ni ya kizamani basi hiyo computer imebadilishwa processor.bna itauza bei chee na perfomance yake inakuwa poor ikiwemo overheating and some errors kama vile bluescreen pia pc kujirestart mara kwa mara yenyewe

kinachofanyika na wauzaji wa PCs wanaangalia socket ya cpu ni compatible na processor ipi ya kisasa. ambapo computer perfomance inakuwa sio optimal kutokana na incompatibility kati ya processor/ ram speed/ FSB speed.

kagua model ya computer na inaonekana ilitoka na cpu gani ili kujua kama imechakachuliwa kitaalamu au kimtaani
 
Jaman mm natumia tecno H6 tatizo picha ukitumiwa au ukipiga zinakuwa km zinajifuta nimeuliza wanasema eti virus sijui nifanyeje wakuu naomba msaada, Hata km ina virus nifanyeje kuwadhibiti hao virus asante
 
posibilities ni:-
memory card ni mbovu(ina bad sectors)
kuna virus either kwenye simu au kwenye memory card.

solution.
scan memory zote - internal na sd card kwa kutumia computer salama yenye antivirus active.

scan sdcard for errors.
 
kununua simu 1.6M wakati laptop high quality hp unanunua kwa 1.3M huo ndio ujinga wa kununua jina na sio bidhaa. hadi sasa simu ghali.kabisa ya tecno bado haifiki hata nusu ya simu ghali ya samsung.
Ni ujinga kwa kadili yako sio kwa kadili ya wenye kipato
 
they dont know what they are doing ... simply wanakwenda na fashion.. wewe unawezakuwa mmoja wapo.....
Tatizo lako unataka matumizi yangu mimi kapuku yalingane na matumizi ya Mengi.Mie nitaona Simu ya 1.6M ni anasa but kwa Mengi ni normal thing,na sio ulimbukeni.
 
Wanajamvi tunaotumia tecno, huu ni Uzi maalum wa kujalidili masuala ya tecnolojia, new tecno updates, matatizo ya simu zetu na jinsi ya kuyatatua. Karibuni
 
Mbona kimya? Bila shaka wewe ndo mtu pekee mwenye tecno jf .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ