hukuwa na haja ya kumagiza kama hunaimani nae mkuu, acha kuwa na roho ndogo, watu tunaagza magari japan for3-4 weeks yapo majini na pesa tumetoa? ungejua ungeenda dar mwenye, hapa jf kunawachina watakwambia kwao ni700 tsh.
if ur serious nipe laki mbili nikutumie mi huwa nazitoa nairobi kwa bei poa kabisa ,na ninaishi arusha hapo inabdi utume n hela ya kutuma kwenye basi..