Tecno L9+ Mkombozi wa watanzania

Mimi ni mpenzi wa kutupwa wa simu za TECNO, Ila nmegundua simu zake zikaa mda mrefu zinaanza kusumbua kwa kuhiload mda mrefu na kugandaganda
Bora yako umesema ukweli mkuu...ukweli kama huu hawasemi watu wachache wanaotumia TEKINO a.k.a TECNO
 
Alcatel PIXI 4, bettery capacity 5000 mAh. Inachaji simu nyingine..
 
TECNO L9+ MKOMBOZI WA WATANZANIA.

Kampuni ya simu yenye asili ya China, Tecno Mobile imekuja na ufumbuzi wa tatzo la simu janja (smart phone) kutokaa na chaji kwa muda mrefu.

Tecno wanajulikana kwa kua na simu zinazokaa na chaji kwa muda mrefu lakini zikiwa na ubora mkubwa, inatazamiwa hivi karibuni Tecno wataingiza sokoni simu itakayokua mkombozi wa watanzania, simu hii inatoka kwenye mfululizo wa matoleo ya L, ikitanguliwa na L8/l8 plus hii inakuja ni L9 plus .

Tecno L9 plus inatarajiwa na kua betri lenye uwezo mkubwa Zaidi simu zilizoko sokoni za aina yake, ikiwa ni 5000 mAh, kwa ukubwa wa betri hili pamoja na matumizi makubwa kusikiliza au kuangalia video, kupiga picha na kutumia mitandao ya kijamii simu hii inaweza kufika masaa 72 ambayo ni sawa siku tatu ndipo mtumiaji anaweza kuchaji tena.

Pia Tecno L9 plus pamoja na kua betri kubwa inakuja ikiwa na uwezo mkubwa kuchaji haraka, mtumiaji akichaji kwa muda wa dakika tano anaweza kuitumia simu kwa kupiga picha Zaidi ya 1000.

Kwa watanzania walioko mikoani simu hii inawafaa Zaidi hasa ukizingatia matatizo ya umeme kukatika katika kwa muda usio julikana, pia kupunguza kadhia ya kutembea na vibeba umeme, power bank.

Tecno L9 plus inayotarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni pia ina usalama wa alama ya vidole maarufu kama finger print hali kadhalika wemba wemba mzuri utakao mpa mtumiaji urahisi wa kuitumia.

Inatabiriwa kufanya vizur sokoni na wataalamu wa vifaa vya mawasiliano, Tecno L9 plus inasubiriwa kwa hamu na watanzania wengi.
Mchina anatisha,wakati yeye anaweka 5000mAh wengine simu zao zina 3000mAh tu zinalipuka.!!!
 
Mkuu hii tangazo unalipa/au unalipia?
 
Me natumia net mfulilizo Kwa zaid ya masaa 12 non stop nainjoi Kwa kweli Kwa l8 plus battery capacity 5500 na nimenua ndogo sio smart Kwa ajili ya radio natumia siku NNE non stop radio baada ya kuchaji INA capacity ya 4000 kama ni Kwa simu tu ina kaa miezi miwili Bila kuchaji inaitwa techno T484 nzuri sana Kwa vijijini
Nataka nikanunue TECNO T484 as a second phone, je, inacheza youtube videos?, nipeni jibu hapo wakuu, fasta kama vipi, kesho asubuhi tu naenda kuinunua.
 
mkuu kama umeandika plate no za gar yangu
Tecno feature phones zote model namba zake kama plate number za magari ya watu wa Tz, mara T340, mara T483, mara T528, hapo lazima ushtuke ujue, hee!!, gari yangu niini!!?
 
Back
Top Bottom