Mie natumia l8 plus, kuna version mbili l8 na hiyo plus iko vizuri sana hasa hasa battery utaifurahia sana, nilikuwa natumia Samsung Galaxy battery ikawa inasumbua sana ila kwa hii l8plus nimeridhika sana
Tecno nishawachoka ngj nihamie LG nione nako hali ikoje....ngj nisubir kwanza haka ka j8 kachakae kwanz maana hakana ht mwezi Leo hii wameleta C9 ukinunua hyo baada ya wiki 3 wanaleta phantom 6 bhas ni full vurugumechi