mwalukuni mchanyato
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 406
- 233
Ni simu nzuri sana.inauzwa 260,000 orijino.ila haijaungwa na mfumo wa 4G ila inaspidi nzuri sana tu ya 3G.Ndugu wana Jf.Naomba ushauri kuhusiana na hii cm kama ni nzuri na inauwezo nzuri katika huu ulimwengu wa smartphone.Mm nipo katika cm mbadala kabla kibano cha mwezi wa sita.Kwa anayeitumia au kuijua hii cm Naomba ukweli juu ya uwezo na utendaji wake wa kazi.
Ndugu wana Jf.Naomba ushauri kuhusiana na hii cm kama ni nzuri na inauwezo nzuri katika huu ulimwengu wa smartphone.Mm nipo katika cm mbadala kabla kibano cha mwezi wa sita.Kwa anayeitumia au kuijua hii cm Naomba ukweli juu ya uwezo na utendaji wake wa kazi.
Hakuna tecno nzuri mkuu..Ndugu wana Jf.Naomba ushauri kuhusiana na hii cm kama ni nzuri na inauwezo nzuri katika huu ulimwengu wa smartphone.Mm nipo katika cm mbadala kabla kibano cha mwezi wa sita.Kwa anayeitumia au kuijua hii cm Naomba ukweli juu ya uwezo na utendaji wake wa kazi.
Ha haHakuna tecno nzuri mkuu..
Sio hardware mpka software mkuu...Tecno wako chini sana kwenye maswala ya hardware.
yale yote yanatokana mfumo wao mbovu wa hardware hasa ile internal memory ambayo inatunza software zote huwa hatabiliki inakufa muda wowote.Sio hardware mpka software mkuu...
Ambae anayo, tuwasiliane... nataka niinunue kotoka kwamkono wa mtu.yale yote yanatokana mfumo wao mbovu wa hardware hasa ile internal memory ambayo inatunza software zote huwa hatabiliki inakufa muda wowote.
Tecno ukinunua unaweza ukaziona poa lakin baada ya kama mwaka mmoja mauzauza yanaanzaNdugu wana Jf.Naomba ushauri kuhusiana na hii cm kama ni nzuri na inauwezo nzuri katika huu ulimwengu wa smartphone.Mm nipo katika cm mbadala kabla kibano cha mwezi wa sita.Kwa anayeitumia au kuijua hii cm Naomba ukweli juu ya uwezo na utendaji wake wa kazi.