TECNO Tanzania
Senior Member
- Jul 6, 2016
- 192
- 216
Tecno kutoa Phantom 6 Septemba hii, itathibitisha ubora wake?
Sio suala jipya kwamba Bara la Afrika limegubikwa kwa kishindo na ulimwengu wa Smartphone (vijana wa mjini wanaziita simu janja). Ulimwengu huu umeshuhudia mapinduzi makubwa ya kiteknojia kwenye simu za mkononi. Urahisi huu umeonekana kwenye manunuzi, mahusiano, ajira, kupata taarifa kwa haraka zaidi n.k. Kampuni kubwa ya kutengeneza simu, TECNO, imegusia mwendelezo wa simu zake kali za PHANTOM mwezi wa Septemba.
Umbo Jembamba
Inasemekana kuwa TECNO Phantom 6 itakuwa miongoni mwa simu nyembamba zaidi kutengenezwa duniani. Yaani utafikiri aliyekuwa anabuni muundo alikuwa kwenye ‘diet’
Ahsante sana mkuu, umejiandaaje na ujio wa Phantom 6?Hawa jamaa wako vizuri kiasi chao..
Phantom 6 itakuwa na battery ukubwa gani ? Kwa maana ya MAh ?Ahsante sana mkuu, umejiandaaje na ujio wa Phantom 6?
Aliyetoa post anaonekana ni market manager, anacchojua ni size ya kamera na vitu vidogovidogo, hawezi jibu hizo nondo mnkuuphantom 5 ilikuwa dissapointment sana kama unaweza kuwaambia wakubwa zako hizi ni constructive criticism
1. huwezi ukawa na simu ya flagship kama hio halafu ukatumia processor za cortex a53 wakati kuna simu hadi za dola 150 zina soc zenye nguvu kuliko simu zenu za laki 8
2. gpu zenu ni ndogo phantom 5 ilikuwa na mali t760mp4 kama sijakosea huku ikiwa na kioo full hd ambacho hakiendani na hio gpu
3. flagship yenu hamjaipa update wakati low end c8 mumeipa sidhani mtu alietoa laki 8 yake atajiskia vizuri
4. bei zenu ni kubwa kuliko munachotoa, flagship za china zenye specs kali zaidi ya simu zenu zinauzwa rahisi zaidi simu kama xiaomi mi5, one plus 3, meizu pro 6, etc