kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,628
- 1,786
Mkuu Mi Sim yangu ni Tecno w3lte inatatizo la kuchelewa msg ama kutofika moja kwa 1wewe ndio hujui matumizi ya simu za Techno mbona sisi tunazitumia vizuri tu? kama kuna program ambazo huwezi zitumia uliza ujibiwe.
upo sahihi kabsa, tecno wana simu mbovu ajabu!!!Mgumu04 acha kuleta maneno ya shombo kama uzi umekukela pita kimya siyo kuleta maneno ya kipuuzi ili hali mwenzio ana hoja..
Nani asiyejua kuwa simu za TECNO ni mbovu?
---nakupa FACT ukitaka kujua simu hizi za tecno ni HOVYO narudia HOVYO KABISA nenda "Customer care yao pale kariakoo opposite na msimbazi police ghorofa la kijani" angalia idadi ya wateja walio rudisha simu kwa matatizo mbalimbali, tena simu hizo zipo ndani warrant na wakikutengenezea baada ya siku kadhaa tatizo linajirudia"?
afu wewe unakuja na maneno ya shombo kumkatisha tamaa mwenzio?
~ukiona post haikuhusu piga kimya~
Mkuu labda Yupo sahihi Ila Mi simu ya tecno zinanisumbua labda yeye ya kwake inamfaaMgumu04 acha kuleta maneno ya shombo kama uzi umekukela pita kimya siyo kuleta maneno ya kipuuzi ili hali mwenzio ana hoja..
Nani asiyejua kuwa simu za TECNO ni mbovu?
---nakupa FACT ukitaka kujua simu hizi za tecno ni HOVYO narudia HOVYO KABISA nenda "Customer care yao pale kariakoo opposite na msimbazi police ghorofa la kijani" angalia idadi ya wateja walio rudisha simu kwa matatizo mbalimbali, tena simu hizo zipo ndani warrant na wakikutengenezea baada ya siku kadhaa tatizo linajirudia"?
afu wewe unakuja na maneno ya shombo kumkatisha tamaa mwenzio?
~ukiona post haikuhusu piga kimya~
mh soma uzi tena jama kasema software wewe unasema customer careMgumu04 acha kuleta maneno ya shombo kama uzi umekukela pita kimya siyo kuleta maneno ya kipuuzi ili hali mwenzio ana hoja..
Nani asiyejua kuwa simu za TECNO ni mbovu?
---nakupa FACT ukitaka kujua simu hizi za tecno ni HOVYO narudia HOVYO KABISA nenda "Customer care yao pale kariakoo opposite na msimbazi police ghorofa la kijani" angalia idadi ya wateja walio rudisha simu kwa matatizo mbalimbali, tena simu hizo zipo ndani warrant na wakikutengenezea baada ya siku kadhaa tatizo linajirudia"?
afu wewe unakuja na maneno ya shombo kumkatisha tamaa mwenzio?
~ukiona post haikuhusu piga kimya~
Mgumu04 acha kuleta maneno ya shombo kama uzi umekukela pita kimya siyo kuleta maneno ya kipuuzi ili hali mwenzio ana hoja..
Nani asiyejua kuwa simu za TECNO ni mbovu?
---nakupa FACT ukitaka kujua simu hizi za tecno ni HOVYO narudia HOVYO KABISA nenda "Customer care yao pale kariakoo opposite na msimbazi police ghorofa la kijani" angalia idadi ya wateja walio rudisha simu kwa matatizo mbalimbali, tena simu hizo zipo ndani warrant na wakikutengenezea baada ya siku kadhaa tatizo linajirudia"?
afu wewe unakuja na maneno ya shombo kumkatisha tamaa mwenzio?
~ukiona post haikuhusu piga kimya~[/QUOTE
mkuu ukiacha huko customer care njoo hapa jukwaani utaona malalamiko mengi ni juu ya tecno tu
na wewe usiseme ni ukosefu wa akili kutumia tecno, Alichokupa Mungu si kila mtu kapewa sawa na ulichopewa wewe.Kununua simu za tecno ni ukosefu wa akili na maarifa tuuu!!........Kuna simu imara, bora na impressive kuliko tecno na zinauzwa bei rahisi kuliko tecno zinazouzwa online!!..... zinauzwa kwenye masoko ya online kama vile Aliexpress, banggood, ebay e. t. c!
Acha kufananisha HUAWEI na vitu vya kijingaupo sahihi kabsa, tecno wana simu mbovu ajabu!!!
wanataka kushindwa na huawei!!!
Ila we unaonekana una kichwa kizito sanamh soma uzi tena jama kasema software wewe unasema customer care
Usifananishe huawei na tecno. Huawei ni bora mara 1000upo sahihi kabsa, tecno wana simu mbovu ajabu!!!
wanataka kushindwa na huawei!!!