Tecno ipi inakaa na chaji muda mrefu?

Tecno ipi inakaa na chaji muda mrefu?

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
296
Reaction score
181
Wakuu habar zenu...katika simu za tecno ..Ni toleo Gani lina kaa na chaj mda mrefu ..?
 
tecno W5 au L8/L9 hutajutia hela yako upande huo!!..au kuna zile edition ya mancity sijui model yake!..
 
Tecno again...fundi mzuri wa tecno yupo aggrey pale... Najaribu kujibu thread yako ya mwezi wa 7
 
L8 ni nzuri ila inakua nzito hata kupiga inakuwa shida
 
Tecno iliokuwa og zote zinakaa chaji, natumia c9 mwaka saiv sijawahi kujuta najvunia hasa hawa jamaa.
Nilikuwa muumin mkubwa wa samsung ila niligundua watu wanacheza na akili zetu kwa kuuza majina.
 
Sim itel P51 pekee.nimeichaji tangia jana usiku,nipo mtandaoni tangia asubui sijazima data.i na chaji asilimia 60.kweli nimeamini demu gudume ndio mtamu
 
Back
Top Bottom