TECNO INAISHIA KWENYE LOGO ...msaada

TECNO INAISHIA KWENYE LOGO ...msaada

Zikwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
239
Reaction score
131
habari za mda huu wakuu
Nina rafiki yang ana Tecno m3 imestuck on logo....akiwasha inaishia kwenye logo ya tecno tuu na haitaki kuendelea yan kuwaka na kuwa tayari kwa ajili ya matumizi na nmejaribu kufactory hard reset karibia mara 10 lakin hamna mafanikio yoyote

msaada wenu tafadhari wnye kulijua hili tatizo au ameshawahi kukutna nalo
cc chief mkwawa
 
Zima simu au kama haizimiki toa betri then irudishe baada ya apo usiiwashe fuata yafuatayo

1.Bonyeza Battan ya kuzima sim na batan ya kupunguzia sauti kwa Pamoja...

2.Utaona Android Icon Inadisplay Ikikuambia No Command
3.Bonyeza Tena Batan ya kupunguzia sauti mara mbili baada ya apo n soo simpo malizia mwenyewe hakikisha unafata maelekezo upewayo

4.Hakikisha una Active Wifi Service karibu yako..
 
Au kama vp muone fundi wa smartphone aliyekaribu yako kuna program ya computer anai run simu inarudi aichukui hata dk 5
 
Back
Top Bottom