Habarini.
Nimeletewa notification ya kuupdate operating system yangu aina ya Tecno lakini kila niiruhusu inaniletea ujumbe flani kama mnavoona kwenye screenshots. je nifanyaje ili niweze kui update hii system.
Hamisha audio, miziki, picha na video zako zote weka kwenye memory card, sijahesabu hizo bytes lakini nahisi zinasum up mpaka kwenye gb 8.
Hivyo unahitaji free memory ya kuanzia gb 8.